Kuhusu KIYOKA FASHION
KIYOKA FASHION ni jukwaa la kuagiza fashion moja kwa moja kutoka China hadi Tanzania. Tunaamini mtindo mzuri hauhitaji bei kubwa — ndio maana kauli mbiu yetu ni “Style You Can Afford”.
Tunachouza
Mashati, suruali, T-shirts, magauni, viatu, sneakers, jackets, handbags na accessories kutoka China.
Bei zetu
Bei za China zinaonyeshwa wazi; chagua idadi uone jumla kabla ya kuweka oda.